IQNA

Afrika Kusini iko mbioni kufunga ubalozi wake Israel

Afrika Kusini iko mbioni kufunga ubalozi wake Israel

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Afrika Kusini imetangaza kuwa inaendeleza mchakato wa kufunga ubalozi wake katika utawala wa Israel mwaka mmoja baada ya kumuondoa balozi wake Tel Aviv.
17:38 , 2019 Oct 15
Wasiwasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kuhusu afya ya Sheikh Zakzaky

Wasiwasi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria kuhusu afya ya Sheikh Zakzaky

Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky ni mbaya kutokana na alimu huyo kuendelea kuwekwa kizuizini kwa muda mrefu sasa.
17:19 , 2019 Oct 15
Waumini 16 wauawa katika hujuma Msikitini nchini Burkina Faso

Waumini 16 wauawa katika hujuma Msikitini nchini Burkina Faso

TEHRAN (IQNA)- Waumini wasiopungua 16 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso.
14:34 , 2019 Oct 14
Jumba la Makumbusho la Posta na Mawasiliano

Jumba la Makumbusho la Posta na Mawasiliano

Wairani walikuwa taifa la kwanza ambalo takribani miaka 3,000 katika zama za utawala wa silsila ya Wakhamaneshi walianzisha taasisi yenye nidhamu maalumu ya posta ambaye wakati huo iliyojulikana kama 'Chapar'.
08:57 , 2019 Oct 14
Kumalizika ipasavyo vita Yemen kutakuwa na taathira chanya katika eneo

Kumalizika ipasavyo vita Yemen kutakuwa na taathira chanya katika eneo

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kwa muda sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasilisha mpango wa nukta nne wa kumaliza vita nchini Yemen na kuongeza kuwa: "Iwapo vita hivyo vitamalizika ipasavyo, basi jambo hilo linaweza kuwa na taathira chanya katika eneo.
21:29 , 2019 Oct 13
Wairani zaidi ya milioni 3 kushiriki matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS

Wairani zaidi ya milioni 3 kushiriki matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS

TEHRAN (IQNA) – Wairani zaidi ya milioni tatu wamejisajili kushiriki katika matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
09:24 , 2019 Oct 12
Taarifa ya Iran baada ya meli yake kushambuliwa karibu na Jeddah

Taarifa ya Iran baada ya meli yake kushambuliwa karibu na Jeddah

TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa taarifa baada ya kushambuliwa meli ya mafuta ya Iran karibu na bandari ya Jeddah, Saudi Arabia katika Bahari ya Shamu.
20:59 , 2019 Oct 11
Tamthilia ya Ta'ziya katika Bustani mjini Tehran

Tamthilia ya Ta'ziya katika Bustani mjini Tehran

Tamthilia ya Ta'ziya iliyopewa anuani ya 'Maombolezo kwa ajili ya Uhuru' kumhusu Al-Hurr ibn Yazid bin Ar-Riyahi, mmoja wa masahaba wa Imam Hussein AS inafanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 14 katika Bustani ya Nabii Ibrahim AS ambayo pia ni maarufu kama Bustani ya Maji na Moto (Ab-o-Atash) kaskazini mwa Tehran.
18:04 , 2019 Oct 10
Waislamu Buckinghamshire Uingereza wasambaza nakala za Qur'ani katika maktaba

Waislamu Buckinghamshire Uingereza wasambaza nakala za Qur'ani katika maktaba

TEHRAN (IQNA) – Imamu wa Msikiti wa Chesham huko Buckinghamshire nchini Uingereza, Sheikh Arif Hassan amezitunuku maktaba za eneo hilo nakala 20 za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiingereza.
11:06 , 2019 Oct 10
Nchi 120 kushiriki katika mashindano ya Qur'ani ya wanawake Dubai

Nchi 120 kushiriki katika mashindano ya Qur'ani ya wanawake Dubai

TEHRAN (IQNA) – Duruy a Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Maalumu kwa Wanawake ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatakuwa na washiriki kutoka nchi 120.
10:28 , 2019 Oct 10
Silaha za nyuklia ni haramu katika Uislamu

Silaha za nyuklia ni haramu katika Uislamu

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza msimamo imara na wa kishujaa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na uharamu wa kutumia bomu la nyuklia na kusema kuwa: Iran haiwekezi kwa ajili ya kutengeneza na kutunza bomu ya nyuklia.
21:41 , 2019 Oct 09
Muuza  mihadarati wa zamani ahifadhi Qur'ani kikamilifu

Muuza mihadarati wa zamani ahifadhi Qur'ani kikamilifu

TEHRAN (IQNA) - Muuza mihadarati wa zamani nchini Uturuki ambaye hadi sasa ametumikia kifungo cha mwaka moja na nusu gerezani amewafnaikiw akuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
10:41 , 2019 Oct 08
Muungano wa Iran na Iraq unazidi kuimarika

Muungano wa Iran na Iraq unazidi kuimarika

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu usiku wa kuamkia Jumatatuametuma ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na machafuko ya hivi karibuni nchini Iraq akisisitiza udharura wa kuwepo umoja na mshikamano kati ya mataifa ya Iran na Iraq.
17:21 , 2019 Oct 07
Iran kusambaza nakala 3,000 za Qurani za Braille kwa wenye ulemavu wa macho

Iran kusambaza nakala 3,000 za Qurani za Braille kwa wenye ulemavu wa macho

TEHRAN (IQNA) – Wenye ulemavu wa macho katika Jamhuri ya Kiislamu ya Irana watakabidhiwa nakala maalumu za Qur'ani zilizoandikwa kwa maandisi ya Nukta Nundu ama Braille.
16:52 , 2019 Oct 07
Shule iliyopewa jina la Mohammad Salah yafunguliwa Misri

Shule iliyopewa jina la Mohammad Salah yafunguliwa Misri

TEHRAN (IQNA)- Shule ya upili imefunugliwa Misri na kupewa jina la mcheza soka mashuhuri wa nchi hiyo, Mohammad Salah.
13:24 , 2019 Oct 05
1