Siku ya Jumapili, idadi kubwa ya waumini waliondoka Tehran kuelekea mji mtakatifu wa Madina ikiwa ni hatua ya kurejeshwa ushiriki wa Wairani katika ibada ya Umrah baada ya kusitishwa kwa miaka tisa kutokana na sababu mbali mbali.
Kulingana na mipango, zaidi ya Wairani 5,000 watashiriki katika ibada ya Umrah katika mwezi wa Hijri wa Shawwal.
21:05 , 2024 Apr 22