IQNA

Mwanazuoni mwandamizi Iran ataka dunia ikomeshe njaa Gaza, asema Israel inatenda ‘uhalifu wa vita’

IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu kutoka Iran amewataka viongozi wa Kiislamu na Kiongozi wa Kanisa Katoliki kushikamana dhidi ya mzingiro...

Jaji wa Iran asisitiza uadilifu katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia

IQNA – Mtaalamu mkongwe wa Qur’ani, Gholam Reza Shahmiveh, amezungumzia umuhimu wa uadilifu na kuwepo kwa Iran katika jopo la majaji wa Mashindano ya Kimataifa...

Sheikh Mkuu wa Al-Azhar atoa wito kwa dunia kusaidia Gaza kukabiliana na njaa

IQNA – Sheikh Ahmed al-Tayeb, Imamu Mkuu wa Al-Azhar, ametoaito wa dharura kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati mara moja kuokoa watu wa Gaza dhidi ya...

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai yapokea zaidi ya maombi 5,600 kwa toleo la 2026

IQNA – Toleo la 28 la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai limevutia maombi 5,618 kutoka nchi 105, ikiwa ni idadi ya juu zaidi hadi sasa, ambapo...
Habari Maalumu
Warsha ya Qur’ani Katika Msikiti wa Mtume yalenga kukuza utaalamu wa Qira’at

Warsha ya Qur’ani Katika Msikiti wa Mtume yalenga kukuza utaalamu wa Qira’at

IQNA – Warsha ya mafunzo kuhusu misingi ya Qira’at kumi za Qur’ani Tukufu imezinduliwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) - Al Masjid an Nabawi, mjini Madina,...
23 Jul 2025, 21:00
Matembezi ya Arbaeen ni Dhamira Hai ya Mafundisho ya Qur’ani

Matembezi ya Arbaeen ni Dhamira Hai ya Mafundisho ya Qur’ani

IQNA – Afisa mmoja wa utamaduni nchini Iran ameeleza kuwa matembezi ya Arbaeen ni dhihirisho la wazi la mafundisho ya Qur’ani Tukufu kwa vitendo.
23 Jul 2025, 20:44
Maonyesho ya Muharram nchini Tanzania yazingatia subira ya Bibi Zaynab (SA)

Maonyesho ya Muharram nchini Tanzania yazingatia subira ya Bibi Zaynab (SA)

IQNA – Mwaka huu, kwa mara ya sita mfululizo, vijana Waislamu wa madhehebu Kishia wa jamii ya Khoja Ithnashari nchini Tanzania wameandaa maonyesho ya Muharram...
22 Jul 2025, 16:03
Wanazuoni wa Kiislamu duniani wataka mataifa ya Kiislamu kuisaidia Gaza

Wanazuoni wa Kiislamu duniani wataka mataifa ya Kiislamu kuisaidia Gaza

IQNA – Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa wito kwa serikali za Kiislamu na mataifa ya Waislamu kuchukua hatua na kufanya jihadi...
22 Jul 2025, 15:53
Polisi wa Denmark wachunguza shambulio dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS)

Polisi wa Denmark wachunguza shambulio dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS)

IQNA – Polisi katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na shambulio lililofanywa na kundi la vijana wa mrengo mkali dhidi...
22 Jul 2025, 15:39
Mtaalamu kutoka Iran kujiunga na Jopo la Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Malaysia

Mtaalamu kutoka Iran kujiunga na Jopo la Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’an Malaysia

IQNA – Kwa mara ya kwanza baada ya karibu miongo miwili, mtaalamu wa Qur’an Tukufu kutoka Iran atahudhuria kama jaji katika mashindano ya kimataifa ya...
22 Jul 2025, 15:27
Msahafu ulioandikwa kwa mkono India kukabidhiwa Jumba la Makumbusho la Madina

Msahafu ulioandikwa kwa mkono India kukabidhiwa Jumba la Makumbusho la Madina

IQNA – Msahafu au nakala adimu ya Qur’an Tukufu iliyoandikwa kwa mkono juu ya kitambaa inatazamiwa kutolewa rasmi kama zawadi kutoka India kwa Saudi Arabia,...
22 Jul 2025, 15:22
Misri yaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Qari mashuhuri Sheikh Mahmud Ali Al-Banna

Misri yaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Qari mashuhuri Sheikh Mahmud Ali Al-Banna

IQNA – Taasisi ya Al-Azhar na Wizara ya Wakfu ya Misri zimemuenzi Sheikh Mahmud Ali Al-Banna, mmoja wa wasomaji wa Qur’ani mashuhuri wa karne ya 20, katika...
21 Jul 2025, 21:15
Msomi: Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga kuzuia ustawi wa Iran

Msomi: Mashambulizi ya Marekani na Israel yalilenga kuzuia ustawi wa Iran

IQNA – Profesa Ali Montazeri, Mkuu wa Akademia ya Kitaifa cha Elimu, Utamaduni na Utafiti (ACECR) nchini Iran, amesema kuwa lengo la mashambulizi ya pamoja...
21 Jul 2025, 21:09
Ubunifu katika usomaji wa Maqariwa Iran: Mada Kuu ya Mkutano wa 20 wa Wataalamu wa Qur’ani

Ubunifu katika usomaji wa Maqariwa Iran: Mada Kuu ya Mkutano wa 20 wa Wataalamu wa Qur’ani

IQNA – Mkutano wa 20 wa wataalamu wa Qur’ani, makari na wahifadhi wa Iran utafanyika mwezi Novemba mwaka huu chini ya usimamizi wa Baraza Kuu la Qur’ani.
21 Jul 2025, 20:58
Papa Leo XIV alaani ‘Unyama’ wa Mashambulizi ya Israeli na mzingiro wa Gaza

Papa Leo XIV alaani ‘Unyama’ wa Mashambulizi ya Israeli na mzingiro wa Gaza

IQNA – Papa Leo XIV amelaani vikali vita vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza, akielezea vita hiyo kuwa ya “kinyama” na kukosoa matumizi...
21 Jul 2025, 20:42
Idhaa ya Qur'ani ya Misri yapokea turathi za utamaduni za Qari ,ashuhuri Ahmed Shabib

Idhaa ya Qur'ani ya Misri yapokea turathi za utamaduni za Qari ,ashuhuri Ahmed Shabib

IQNA – Katika jitihada za kuhifadhi urithi wa makari maarufu wa Qur'ani wa Misri na kutambua mchango wao wa kipekee, Idhaa ya Qur'ani ya Misri imepokea...
21 Jul 2025, 19:40
Mtaalamu wa Lebanon: Iran imezima Mpango wa Marekani na Israel wa “Mashariki ya Kati Mpya”

Mtaalamu wa Lebanon: Iran imezima Mpango wa Marekani na Israel wa “Mashariki ya Kati Mpya”

IQNA – Mtaalamu kutoka chuo kikuu nchini Lebanon amesema kuwa lengo la utawala wa Kizayuni katika vita vya siku 12 dhidi ya lilikuwa kuuangusha mfumo wa...
20 Jul 2025, 20:12
Usomaji wa Surah Al-Nasr kwa Sauti ya Qari kutoka Afrika ya Kati

Usomaji wa Surah Al-Nasr kwa Sauti ya Qari kutoka Afrika ya Kati

IQNA- Ibrahim Isa Musa, qari mashuhuri kutoka Afrika ya Kati, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” iliyoandaliwa na shirika la IQNA kwa kusoma...
20 Jul 2025, 18:57
Msikiti Mkuu wa Makka waandaa darasa maalum za Qur’ani kwa wanawake

Msikiti Mkuu wa Makka waandaa darasa maalum za Qur’ani kwa wanawake

IQNA – Kozi maalum ya kiangazi ya kuhifadhi na kusoma Qur’ani kwa wanawake imezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka maarufu kama Masjid al Haram.
20 Jul 2025, 18:44
Hatua ya awali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanafunzi wa Kiislamu Imeanza mtandaoni

Hatua ya awali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa wanafunzi wa Kiislamu Imeanza mtandaoni

IQNA-Hatua ya Awali ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani kwa Wanafunzi wa Kiislamu Imeanza kwa Njia ya Mtandao
20 Jul 2025, 18:27
Picha‎ - Filamu‎