iqna

IQNA

magaidi
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua kumi wameuawa baada kundi la kigaidi la Al Shabab kutekeleza hujuma katika mghahawa mmoja wenye shughuli nyingi kwenye makutano ya barabara ya Jubba, katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3474067    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi (PMU) imefanya gwaride kubwa lililopewa jina la 'Idi ya Hashd' siku ya Jumamosi 26 Juni kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa kuanzishwa kwake.
Habari ID: 3474050    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/28

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 12 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea ndani ya msikiti wa Haji Bakhshi ulioko kwenye eneo la Shakar Dara viungani mwa mji wa Kabul wakati waumini walipokuwa wako kwenye ibada ya Sala ya Ijumaa hapo jana.
Habari ID: 3473910    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameua Waislamu 19 waliokuwa msikitini nchini Nigeria katika eneo la mpaka wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na Mali.
Habari ID: 3473831    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/19

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameshambulia msafara wa wafanyaziara wa Imam Kadhim AS, Imam wa Saba wa Mashia katika eneo la Al Kadhimiya katika mkoa wa Baghdad nchini Iraq.
Habari ID: 3473719    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq haitauruhusu urudi tena nchini humo.
Habari ID: 3473648    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/14

TEHRAN (IQNA)- Magaidi huko Syria wameua watu wasiipungua 25 na kuwajeruhi wengine katika shambulio la kigaidi lililofanywa katika eneo la Deir ez-Zor mashariki wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3473511    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31

TEHRAN (IQNA) - Askari wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi Iraq (PMU) maarufu kama Hashdu Shaabi wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi watano sambamba na kuzima hujuma ya kigaidi katika eneo la al-Oaista mjini Jurf al Nasr mkoani Babel, kusini mwa mji mkuu Baghdad.
Habari ID: 3473473    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/20

TEHRAN (IQNA) -Wanajeshi wa Ufaransa walioko nchini Mali wamedai kumuangamiza kinara wa operesheni za kigaidi za tawi la kaskazini mwa Afrika la mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda.
Habari ID: 3473358    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14

TEHRAN (IQNA) – Waalimu watano wa Qur'ani wameuawa baada ya kufyatuliwa risasi na magadi katika kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3473182    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18

TEHRAN (IQNA) - Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la ISIS au Daesh ambao bado wanaendeleza harakati zao Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lishindwe vitani katika nchi hizo.
Habari ID: 3473101    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25

TEHRAN (IQNA) - Watu wasiopungua 16 wameuawa mjini Mogadishu Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa, kufuatia shambulio la magaidi wakufurishaji wa al-Shabab katika Hoteli ya Elite.
Habari ID: 3473076    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/17

TEHRAN (IQNA) –Rais Bashar al Assasd wa Syria amesema Marekani inahitaji uwepo wa magaidi , hasa wa ISIS, katika eneo la Asia Magharibi na imetumia vikwazo vya hivi karibuni dhidi ya Syria ili kuwaunga mkono magaidi .
Habari ID: 3473067    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/14

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Libya imetangaza kuwakamata magaidi wa kundi la ISIS au Daesh karibu na mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3472939    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07

TEHRAN (IQNA) – Watu wasiopungua watano wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia hujuma za kigaidi nchini Somalia.
Habari ID: 3472927    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/04

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) katika mauaji ya watu wa Iran.
Habari ID: 3472909    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/29

TEHRAN (IQNA) - Kundi la Taliban limetoa taarifa na kusema hujuma dhidi ya misikiti nchini Afghanistan zinatekelezwa na mashirika ya kijasusi ya maadui.
Habari ID: 3472861    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Misri limesema askari wake 15 wameuawa katika mapigano makali na magaidi ambapo magaidi 126 wakufurishaji pia wameuawa mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472728    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika hujuma kadhaa za kigaidi zilizotokea leo ndani ya msikiti wakati wa Sala ya Ijumaa katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3472176    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18

TEHRAN (IQNA) - Maafisa 10 wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3472002    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/15