iqna

IQNA

Gyanvapi
Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Mahakama Kilele ya India imebatilisha uamuzi wa mahakama ya chini ambayo ilikuwa imeamuru marufuku ya sala za jamaa katika msikiti wa Karne ya 17 kaskazini mwa India kwa madai kuwa kulikuwa na mabavu ya mmoja ya miungu ya Kihindu, Shiva, na nembo zingine za Kihindu hapo.
Habari ID: 3475267    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19