iqna

IQNA

presstv
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amelaani vikali hatua ya Marekani kuteka tovuti za vyombo vya habari vinavyounga mkono harakati za muqwama au mapambano ya Kiislamu na Iran katika eneo.
Habari ID: 3474074    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/06

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani kuteka na kufunga tovuti kadhaa za vyombo vya habari vya Iran na kieneo na kusema kitendo hicho ni jinai inayothibitisha sera za ukandamizaji zinazfuatwa na Washington.
Habari ID: 3474040    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/25

TEHRAN (IQNA)- Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) limetoa taarifa na kulaani hatua ya tovuti zake kadhaa na za mrengo wa muqawama kufungwa na serikali ya Marekani na kusema kitendo hicho ni ukiukwaji wa wazi wa uhuru wa maoni na ni hujuma dhidi ya vyombo huru vya habari.
Habari ID: 3474036    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23