iqna

IQNA

mchezaji
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji chipukizi wa timu ya kandanda ya Arsenal ya Uingereza kutoka Ghana, Thomas Partey amesilimu na kuwa Muislamu, kulingana na picha zilizochapishwa na akaunti ya "Muslim Athletes" kwenye mtandao wa Instagram.
Habari ID: 3475057    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/20

TEHRAN (IQNA) – Mchezaji maarufu wa soka wa timu ya Ligi Kuu ya England, Mohammad Salah ameonekana akisoma Qur’ani Tukufu akiwa ndani ya ndege.
Habari ID: 3473758    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/24