Jinai dhidi ya Waislamu
Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi Kajsa Ollongren amewaomba msamaha kwa Waislamu wa Bosnia na ameshiriki katika ibada ya kumbukumbu ya 27 ya waathirika wa mauaji ya kimbari ya Srebrenica .
Habari ID: 3475492 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imebatilisha uamuzi wake wa kumuenzi mwanahistoria wa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya matamshi yake ya kukana mauaji ya Waislamu.
Habari ID: 3474750 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica yalifanyika kutokana na Ulaya kufeli kutekeleza majukumu yake ya msingi.
Habari ID: 3472955 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/12
TEHRAN (IQNA) – Mauaji ya Kimbari ya Srebrenica yalijiri miaka 25 iliyopoita ambapo Waislamu zaidi ya 8000 wa mji huo waliuawa kwa umati.
Habari ID: 3472954 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/12