IQNA

Maandamano ya Kimataifa ya Kuunga mkono Wapalestina

TEHRAN (IQNA) - Nchi kadhaa duniani zilikaribisha maelfu ya watu siku ya Ijumaa ambao walionyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina kutokana na mashambulizi ya kikatili ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza ulikaliwa kwa Mabavu.

Maandamano yalifanyika katika nchi tofauti zikiwemo Iran, Iraq, Yemen, Syria, Lebanon, Marekani, Pakistan, na Malaysia.