IQNA

Zawadi Iliyobadilisha Njia ya Sheikh Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Ibrahm Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria akizungumza kuhusu zawadi maalum na mikutano ambayo ilikuwa na ushawishi mkubwa kwake miaka 44 iliyopita.
Kishikizo: sheikh zakzaky