IQNA

Qari maarufu wa Misri, Sheikh Taruti, afungamana na Iran katika kukabiliana na Israel

Qari maarufu wa Misri, Sheikh Taruti, afungamana na Iran katika kukabiliana na Israel

IQNA- Qari mashuhuri wa Misri, Sheikh Abdul Fattah  Taruti, ametangaza kufungamana na watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
21:33 , 2025 Jun 19
Msomi wa Morocco: Nchi za Kiislamu ziunge mkono Iran kukabiliana na hujuma ya Israel

Msomi wa Morocco: Nchi za Kiislamu ziunge mkono Iran kukabiliana na hujuma ya Israel

IQNA- Rais wa zamani wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu, Sheikh Ahmed al Raissouni, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote kuunga mkono Iran katika kukabiliana na hujuma ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, huku akisisitiza kuwa hakuna taifa ambalo limewaunga mkono ukombozi wa Palestina kama ilivyofanya Iran.
19:15 , 2025 Jun 19
Kiongozi  mkuu wa Mashia Iraq alaani vitisho  dhidi ya Ayatullah Khamenei

Kiongozi mkuu wa Mashia Iraq alaani vitisho dhidi ya Ayatullah Khamenei

IQNA-Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Mashia wa Iraq Ayatullah Sistani amelaani vikali hujuma inayoendelea ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na vitisho vyovyote dhidi ya maisha ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
18:54 , 2025 Jun 19
Kiongozi Muadhamu: Wamarekani wafahamu kuwa taifa la Iran halitasalimu amri

Kiongozi Muadhamu: Wamarekani wafahamu kuwa taifa la Iran halitasalimu amri

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran litasimama kidete  katika kukabiliana na vita vya kulazimishwa, kama ambavyo halitakubali amani ya kutwishwa  na hivyo taifa hali halitasalimu amri.
22:39 , 2025 Jun 18
Zakzaky: Mashambulizi ya kigaidi ya Israel yanapasa kulaaniwa duniani kote

Zakzaky: Mashambulizi ya kigaidi ya Israel yanapasa kulaaniwa duniani kote

Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky amelaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran na kuelezea hujuma hizo za utawala wa Kizayuni dhidi ya nchi huru kuwa ni kitendo cha juu zaidi cha uchokozi, kinachopaswa kulaaniwa duniani kote.
15:05 , 2025 Jun 18
17