TEHRAN (IQNA) – Klipu imesambazwa hivi karibuni yenye qiraa ya Surat Al-Ikhlas ya wasomaji wanne mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri.
Klipu hiyo ina sauti za qiraa ya Sura ya 112 ya Qur'ani Tukufu, yaani Surat Al-Ikhlas, wasomaji mashuhuri wa Misri ambao ni Sheikh Mohamed Ahmed Shubaib, Sheikh Shahat Mohamed Anwar, Sheikh Mustafa Ismail, na Sheikh Mohamed Sidiq Minshawi.