Habari Maalumu
Hija
IQNA - Zaidi ya Wairani 83,000 wataelekea Saudi Arabia kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu, afisa mmoja alisema.
23 Apr 2024, 11:20
Jina za Israel
IQNA - Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameitaja ripoti kuhusu kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki huko Gaza kuwa ni ya kushtusha, huku ushahidi wa awali ukionyesha...
23 Apr 2024, 11:30
Elimu
IQNA - Naibu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema kuna changamoto nyingi katika kazi ya tarjuma au tafsiri ya maandiko ya kidini,...
23 Apr 2024, 11:07
Nidhamu Katika Qur'ani /4
IQNA - Kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu, tabia ya mtu ya kutetea kwa ukali maoni na matamanio yake inaondolewa na uwezo wake wa kudhibiti hisia...
23 Apr 2024, 09:59
Jinai za Israel
IQNA - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) siku ya Jumatatu chini ya ulinzi mkali wa wanajeshi wa...
23 Apr 2024, 09:37
Umrah 1445
IQNA - Afisa wa Hijja wa Iran amelitaka kundi la kwanza la Wairani walioelekea Saudia kwa ajili ya Hija ndogo ya Umra kuwakumbuka Wapalestina hasa wa...
22 Apr 2024, 21:01
Jinai za Israel
IQNA - Takriban miili 190 imetolewa kwenye kaburi la umati katika Hospitali ya Nasser katika mji wa Khan Younis kusini mwa Ukanda wa Gaza.
22 Apr 2024, 20:48
Ahadi ya Kweli
IQNA - Mwanaharakati wa kisiasa wa Syria amesema shambulio la makombora ya Iran na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israeli mapema mwezi huu limeleta mabadiliko...
22 Apr 2024, 10:28
Waislamu Ulaya
IQNA - Mwigizaji wa Uholanzi Donnie Roelvink amesilimu siku ya Ijumaa, Aprili 19, kwa kutamka Shahadah.
22 Apr 2024, 09:58
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Misri inaandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa wenye vipaji maalumu lengo likiwa ni kukuza utamaduni wa Kiislamu.
22 Apr 2024, 10:44
Ahadi ya Kweli
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Vikosi vya kijeshi vimeonyesa taswira nzuri ya uwezo na mamlaka yao, na pia taswira...
21 Apr 2024, 16:34
Kadhia ya Palestina
IQNA - Picha za qari wa Algeria akisoma Qur'ani kwa ajili ya kuwaenzi watu wa Gaza zimesambaa katika mitandao ya kijamii.
21 Apr 2024, 16:26
Sanaa katika Uislamu
IQNA - Mwandishi kaligrafia nchini Iran ambaye ni mtaalamu wa uandishi wa maandishi ya kidini, hususan aya za Qur'ani Tukufu, amebainisha wasiwasi kuhusu...
21 Apr 2024, 16:01
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yanafanyika nchini Rwanda leo Jumapili.
21 Apr 2024, 15:39
Nidhamu Katika Qur'ani / 3
IQNA – Baadhi ya mafundisho ya Qur'ani kama vile yale kuhusu kudhibi Mwenyezi Mungu mambo yote na matukio yanayotokea maishani hutusaidia kudhibiti na...
20 Apr 2024, 20:50
Ahadi ya Kweli
IQNA - Mbunge mmoja wa Uturuki ameiongeza Iran kwa kutekeleza operesheni ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya utawala wa Israel hivi karibuni.
20 Apr 2024, 20:25